Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA),
Freeman Mbowe akizungumza na vijana wa ulinzi wa chama hicho maarufu kama Red
Brigade, (RB), kutoka Kanda ya Kati ya Mikoa ya Dodoma na Singida kwenye makao
makuu ya chama hicho mjini Dodoma Jumatatu Februari 9, 2015.
Mbowe wakati akizungumza na Red Brigade
No comments:
Post a Comment