Gari la mbunge aliyepigwa risasi nchini Somalia.Mbunge
mwengine nchini Kenya amepigwa risasi na kuuawa ndani ya gari lake
Mbunge mmoja ameuawa kwa kupigwa risisi kwenye mji mkuu wa
kenya Nairobi.
Ripoti za polisi zinasema kuwa mbunge huyo wa Kabete, eneo
lililo nje kidogo ya mji wa Nairobi
aliuawa na watu wasiojulikana usiku wa
kuamkia leo.
Walinzi wake wawili,dereva pia nao wameuawa.
Polisi wanasema kuwa watu waliokuwa na silaha walilifuata
gari la mbunge huyo kutoka eneo la Westlands kabla ya kulimiminia rasasi ndani
ya mji wa Nairobi.
No comments:
Post a Comment