Zhang Lidong
Wanachama wawili wa kundi la ushirikina nchini Uchina
wamenyongwa kwa madai ya kumuua mwanamke mmoja katika mkahawa wa McDonald's.
Mwanamke huyo alichapwa na wanachama wa kundi hilo,
linalojulikana kama kanisa la Mwenyezi Mungu, baada ya kukataa kuwapa nambari
ya simu yake.
Mashambulizi hayo yalitokea katika jimbo la
mashariki mwa
Shangdong Mei mwaka jana.
Vyombo vya habari vya Kichina vimesema wanachama hao wa
ushirikina waliyouawa ni baba na binti yake.
Kanisa hilo linaamini kuwa yesu alifufuka kama mwanamke wa
kichina
No comments:
Post a Comment