Wachezaji wa Simba wakiwashukuru mashabiki baada ya mechi.
Timu ya Simba SC, ilishinda bao 2-1 dhidi ya JKT Ruvu leo Uwanja wa Taifa, Dar.
Sasa ina pointi 16.
Mfungaji kwa upande wa Simba ni Danny Sserunkuma kipindi cha
kwanza na kipindi cha pili.
No comments:
Post a Comment