PICHA 5::BASI LA KIDIA LAPATA AJALI MBAYA YA KUGONGANA USO KWA USO NA LORI
Ajali mbaya imetokea mchana huu huko Mbande, Dodoma baada ya
basi la Kidia One kugongana uso kwa uso na lori. Basi hilo limeharibika vibaya
mno, inasadikika watu wengi wamepoteza maisha. Endelea kufuatilia zaidi hapa Dj Sek Blog kwa taarifa zaidi!
No comments:
Post a Comment