Social Icons

IMETOSHA

IMETOSHA

Thursday, February 5, 2015

PICHA 5:::RAIS MUGABE ADONDOKA WAKATI AKISHUKA NGAZI BAADA YA KUHUTUBIA

 Mara tu baada ya kuwasili kutoka Ethiopia Jumatano hii, Raisi Wa Zimbabwe aliwasili nchini humo na kuhutubia wananchi waliofika kumpokea. Baada ya kuhutubia raisi huyo ambaye anafikisha miaka 91 tar 21 mwezi huu wa pili(Februali) alianguka akishuka katika ngazi kama ambavyo picha zinaonekana. Akiwa Ethiopia, Mugabe amechaguliwa kuwa Mwenyekiti mpya wa Umoja wa Afrika (AU)
1. Alianza Kushuka Katika Ngazi
 2. Akakosea Kukanyaga Ngazi na Kuteleza
 3. Akaanguka



1 comment: