Mara tu baada ya kuwasili kutoka Ethiopia Jumatano hii,
Raisi Wa Zimbabwe aliwasili nchini humo na kuhutubia wananchi waliofika
kumpokea. Baada ya kuhutubia raisi huyo ambaye anafikisha miaka 91 tar 21 mwezi
huu wa pili(Februali) alianguka akishuka katika ngazi kama ambavyo picha
zinaonekana. Akiwa Ethiopia, Mugabe amechaguliwa kuwa Mwenyekiti mpya wa Umoja
wa Afrika (AU)
1. Alianza Kushuka Katika Ngazi
2. Akakosea Kukanyaga Ngazi na Kuteleza
3. Akaanguka
pole sana mzee wetu
ReplyDelete