Pages

Monday, February 9, 2015

SKYLIGHT BAND YAKONGA NYOYO ZA MASHABIKI WAKE NDANI YA NYAMA CHOMA FESTIVAL‏

DSC_0020
Kikosi cha Skylight Band kikiongozwa na mkongwe wa muziki wa Live Band, Joniko Flower (kushoto) kutoa burudani kwa mashabiki wake ndani ya viwanja vya Leaders Club kwenye tamasha la Nyama Choma lilifanyika mwishoni mwa wiki. Kutoka kulia ni Sam Mapenzi, Aneth Kushaba AK47 pamoja na Sony Masamba.
DSC_0025
Swagga za Skylight Band hii inafahamika kama "Mashauzi" mkongwe Joniko Flower akiwasebenesha mashabiki wake ( hawapo pichani).
DSC_0030
Asali ya warembo Sam Mapenzi akifanya yake jukwaani kwenye tamasha la Nyama Choma ndani ya viwanja vya Leaders Club.


DSC_0156
DSC_0043
Watu weweeeeeeee yani ni full mzuka...pole kwa uliyekosa burudani ya aina yake ndani ya Leaders Club.
DSC_0060
Vijana wakilisongesha gwaride la sebene ndani ya Nyama Choma Festival.
DSC_0198
Majembe ya Skylight Band yakiongozwa na Sony Masamba (katikati) kutoa burudani kwenye tamasha la Nyama Choma ndani ya viwanja vya Leaders Club. Kushoto ni Joniko Flower na kulia ni Sam Mapenzi.
DSC_0081
Warembo wakijinafasi ndani ya Leaders Club kwenye tamasha la Nyama Choma huku Skylight Band ikitoa burudani.
DSC_0086
Mashabiki wa Skylight Band wakiendelea kupata burudani huku wengine wakirekodi kumbukumbu ya burudani hiyo kwenye simu zao.
DSC_0091
Idrissa Drums na Moses Kinanda wakipika muziki mzuri kuhakikisha walaji wa burudani ya Skylight Band wanashiba.
DSC_0103
Mashabiki wakisebeneka na burudani ya Skylight Band.
DSC_0205
Pale raha ya burudani ya Skylight Band inapokolea ni kama hivi.....
DSC_0132
DSC_0224
DSC_0242
DSC_0247
Mdau akanibamba nampiga ukodak.
DSC_0258
John Music akifanya yake jukwaani huku akipewa sapoti na Ashura Kitenge, Baby pamoja na Sony Masamba.
DSC_0105
Anafahamika kwa jina la Ashura Kitenge akitoa burudani kwa mashabiki wa Skylight Band huku back vocal ikipigwa na Baby.
DSC_0113
Daudi Tumba na Tophy Bass wakifanya yao jukwaani.
DSC_0118
Warembo wakiendelea kula raha na Skylight Band. Kwa picha zaidi ingia modewjiblog

No comments:

Post a Comment