Mh. Temba pamoja na Chege wakionesha manjonjo stejini wakati wa uzinduzi wa video yao.
Nyomi ya shoo hiyo.
Yamoto band wakipozi kwa picha katika red carpet pamoja na mashabiki wa muziki.
Chegge na Mh.Temba wakiwa katika picha ya pamoja na wacheza shoo wao kwenye red carpet.
KATIKA ukumbi wa Escape One jijini Dar es Salaam, usiku wa kuamkia Jumapili kulikuwa na uzinduzi wa video za wasanii nyota watatu, Mh. Temba na Chegge kwa pamoja wakiwa na video yao ya Kaunyaka, huku Madee akiionyesha kwa mara ya kwanza Vuvula, kazi ambazo ziliwapagawisha kwa kiwango kikubwa mamia ya mashabiki waliojazana ukumbini hapo.
(PICHA NA: DENIS MTIMA / GPL)
No comments:
Post a Comment