skip to main |
skip to sidebar
TAZAMA PICHA 10::MAPACHA 6 WALIOZALIWA MWAKA 1983 NCHINI UINGEREZA SASA NI WAKUBWA NA WAMENZA KUWA NA FAMILIA ZAO
Bwana Na Bibi Grahan Walton wakiwa na mabinti wao sita pamoja na mjukuu wao
Mapacha hao wa kike wakati wana miaka mitano (Kushoto kwenda kilia) Luci, Ruth, Jennie, Hannah, Kate and
Sarah
Wazazi wa mapacha hao wakiwa na watoto wao mapacha mwaka 1983 walipozaliwa
Mapacha sita wakiwa na umri wa miaka 11 baada ya kuanza shule ya sekondari
Familia ikiwa pamoja baada ya kutoka chakula cha usiku mwaka 1989
No comments:
Post a Comment