Social Icons

IMETOSHA

IMETOSHA

Monday, February 2, 2015

TAZAMA PICHA 6 ZA BONDIA FRANSIS CHEKA AKIPANDA KARANDINGA KWENDA JELA BAADA YA KUHUKUMIWA MIAKA 3

 Bondia Francis Cheka (kulia) akiwa amepanda ndani ya gari la polisi baada ya kuhukumiwa miaka mitatu jela kwa kumpiga meneja wa baa yake ambapo atamlipa fidia ya sh. milioni moja. Hukumu hiyo ilitolewa na Mahakama ya Hakimu Mkazi ya Morogoro.
 Cheka akiongea jambo wakati akipanda gari la polisi.
 ...Akipanda gari kwenda jela.
 Polisi (kushoto) akimwamuru Cheka kutoongea na simu.



 Mdogo wake Cosmas Cheka (kushoto) akilia.
..Akiichukua simu ya cheka kutoka mfukoni.

No comments:

Post a Comment