Bondia Francis Cheka (kulia) akiwa amepanda ndani ya gari la
polisi baada ya kuhukumiwa miaka mitatu jela kwa kumpiga meneja wa baa yake
ambapo atamlipa fidia ya sh. milioni moja. Hukumu hiyo ilitolewa na Mahakama ya
Hakimu Mkazi ya Morogoro.
Cheka akiongea jambo wakati akipanda gari la polisi.
...Akipanda gari kwenda jela.
Polisi (kushoto) akimwamuru Cheka kutoongea na simu.
Mdogo wake Cosmas Cheka (kushoto) akilia.
..Akiichukua simu ya cheka kutoka mfukoni.
No comments:
Post a Comment