Wanaume wanapendelea wanawake wenya makalio makubwa
Je wajua kwanini wanaume wanawapenda wanawake waliojaliwa na
makalio makubwa ?
Katika majarida mengi umewaona wanaume wakikodolea macho
picha za wanawake wenye makalio makubwa iwe ni kim Kardashian, Jenipher Lopez
Nicki Minaj na Vera Sidika kutoka Kenya .
Sasa basi Utafiti umedhibitisha kuwa ni kweli wanaume
wanapenda wanawake waliojaaliwa sehemu ya nyuma.
Kulingana na utafiti wa chuo kikuu Bilkent , chuo
kikuu cha
Texas, na chuo kikuu cha American University kilichoko mjini Beirut
Wanaume wanakisia kuwa mwanamke mwenye makalio makubwa
anaweza kufanya kazi kwa bidii zaidi ya mwanamke ambaye hana makalio makubwa.
Hata hivyo kinachowavutia wanaume si makalio haswa bali ni
kupinda kwa uti wa mgongo unaosababisha tako kuonekana zaidi.
Wanaume walioneshwa picha za makalio ya wanawake wengi na asilimia
kubwa iliwapendelea wanawake wenye makalio yaliyopinda kwa kiwango cha 45.5
Aidha zaidi ya asilimia 30% walisema wangalimchukua mwanamke
mwenye makalio makubwa zaidi ya yule waliye naye sasa.
Kwa mujibu wa utafiti huo katika miaka ya awali mwanamke
aliyeonekana kuwa na makalio makubwa alipendelewa kutokana na uwezo wake wa
kubeba mizigo mgongoni.
Isitoshe mwanamke kama huyo aliwavutia wanaume wengi na
hivyo kuwa na uwezo wa kuzaa watoto wengi.
Aidha mwanamke mwenye makalio makubwa angeweza kustahili
uzito wa mtoto aliyebebwa tumboni na hata kustahilimi makali ya uzazi kuliko
wale wenye makalio wastani.
No comments:
Post a Comment