Profesa Ibrahim Lipumba,mchana wa Jana tarehe 30/03/2015, amemtembelea Askofu Josephat Gwajima aliyelazwa TMJ Hospital Askofu
wa Kanisa la Ufufuo na Uzima Josephat Gwajima aondolewa katika chumba
cha uangalizi Maalum (ICU) TMJ baada ya kupata nafuu na hali yake
kuendelea vizuri.
Picha za Prof Ibrahim alipomtembea Askofu Gwajima Hospitalini
No comments:
Post a Comment