apper huyo ambaye wiki hii ameachia video na wimbo mpya
uitwao ‘Kidawa’ aliomshirikisha Shaa, amedai kuwa nia ya kwenda kimataifa ipo
na anajipanga kufika huko pia.
“Natamani sana kufanya kazi nje ya nchi, kuna watu
wametangulia wameenda na wameleta kazi nzuri tunaziona, lakini natamani na mimi
nikienda nikirudi watu wasema ‘dah jamaa kwelia alienda,” Izzo alisema.
“Bado sijaweza mimi kufika bajeti ya kwenda kumlipa mtu
milioni 20, milioni 40. Kwasababu baada ya kulipa milioni 20, milioni 40 lazima
ujue unafanyaje promotion ya nyimbo yako.”
Izzo ameongeza kuwa anapanga na muongozaji wake, Nick Dizzo
nao kusafiri kwenda nje ya nchi kufanya video
No comments:
Post a Comment