Pages

Tuesday, March 17, 2015

KOCHA WA SUNDERLAND ATIMULIWA



Sunderland imemfukuza kazi meneja wake Gus Poyet baada ya kushinda mechi moja tu kati ya 12 za Ligi Kuu ya England. Paka Weusi hao wananinginia katika nafasi ya 17 baada ya kufungwa 4-0 na Aston Villa siku ya Jumamosi. Poyet amekutana na mkurugenzi 
 
mkuu Margaret Brrne pamoja na wajumbe wengine wa bodi baada ya mazoezi siku ya Jumatatu, lakini klabu hiyo iliamua kumsimamisha kazi. Poyet, raia wa Uruguay alichukua umeneja wa Sunderland mwezi Oktoba 2013, kuziba nafasi ya Paolo di Canio.

No comments:

Post a Comment