Pages

Thursday, March 26, 2015

Messi ndiye mwanasoka tajiri duniani kwasasa,Kocha Anayelipwa Zaidi Mourinho Soma List Yote hapa

mesi

Jarida la soka la nchini Ufaransa limetoa orodha ya wanasoka na makocha wenye utajili mkubwa kwasasa ulimwenguni,orodha hiyo kwa upande wa wanasoka inaongozwa na Lionel Messi,utajili huo wa Messi unatokana na jumla ya pesa zote anazozipata kutokana na mshahara pamoja na mikataba aliyosaini na makampuni mbali mbali.

mesii 

mou
wakati Messi akiongoza kwa mkwanja kwa upande wa makocha Mreno Jose Mourinho yeye anawakimbiza wenzake kwa kupata mkwanja mnono kutokana na kazi yake ya ukocha,Mourinho kwasasa ni kocha wa Chelsea ya ligi kuu ya England

No comments:

Post a Comment