Mjane wa marehemu Kapteni John Komba, Bi. Salome Komba akilia kwa uchungu nyumbani kwake maeneo ya Mbezi Beach Tangi Bovu
Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Mhe. William Lukuvi (wa kwanza kushoto) akimfariji mke wa marehemu, Salome komba(katikati)
Khadija Kopa(katikati), ambaye alikuwa chini ya Komba katika kikundi cha taarabu cha TOT akilia kwa uchungu nyumbani kwa marehemu Komba
Picha na GPL
No comments:
Post a Comment