Jeneza lililobeba mwili wa aliyekuwa Mbunge wa Mbinga Magharibi na Mjumbe wa Halmashauri kuu ya CCM marehemu John Damiano Komba ukipokelewa katika uwanja wa ndege wa Songea na umati
mkubwa wa waombolezaji wakiongozwa na Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma, Mhe. Mwambungu, Mhe. John Nchimbi, Mbunge wa Songea Mjini, na Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais (Kazi Maalum) Mark Mwandosya, kulia. Marehemu anatarajiwa kuzikwa kijijini kwake Lituhi, Wilaya ya Nyasa, mapema leo Machi 3, 2015.

No comments:
Post a Comment