Mchezaji wa timu ya Herediano alikimbizwa hospitali baada ya kupigwa buti kichwani wakati wa michuano ya ya Ligi ya Mabingwa Amerika Kusini chini ya Shirikisho la Soka barani humo (Concacaf).Mechi hiyo ya nusu fainali kati ya Herediano ya Costa Rica dhidi ya Club America tukio hilo liliwashitua wengi uwanjani hapo.Huku dakika zikiwa zinayoyoma, beki wa Club America Paolo Goltz alikuwa akiosha mpira lakini buti lake liliishia kichwani mwa Cristhiam Lagos.
AQRB YATARAJIA KUONESHA UJUZI MPYA NA TEKNOLOJIA ZA KISASA KWENYE MKUTANO
WA MWAKA
-
NA EMMANUEL MBATILO, MICHUZI TV
BODI ya Usajili wa Wabunifu Majengo na Wakadiliaji Majenzi (AQRB)
inatarajia kufanya mkutano wao wa mwaka ambao utafanyika...
2 hours ago
No comments:
Post a Comment