Msanii ambae ameshakuja Tanzania mara mbili, mkali kutoka Nigeria
Davido hivi karibuni alirusha kibunda cha pesa katikati ya barabara ilibaki kidogo
watu wagongwe na magari kwa kuzikimbilia pesa hizo
Mara nyingi unashauriwa kama unaona unapesa nyingi hadi nyingine unaona hazina kazi, nenda katoe misaada kwa watoto yatima, toa misaada katika makanisa na misikiti.
Mara nyingi unashauriwa kama unaona unapesa nyingi hadi nyingine unaona hazina kazi, nenda katoe misaada kwa watoto yatima, toa misaada katika makanisa na misikiti.
No comments:
Post a Comment