Watu zaidi ya watatu wamenusurika Kifo Baada ya gari Yao kupata ajali Eneo la Lutukila mkoani Ruvuma katika barabara kuu ya Njombe -Songea wakielekea kumzika mbunge wa Mbinga Magharibi Kepten John Komba
ajali imetokea Majira ya saa 7 usiku na hakuna
aliyepoteza Maisha zaidi ya kujeruhiwa katika gari hiyo kunadaiwa kulikuwa na watu watatu wawili wanawake na mmoja mwanaume
aliyepoteza Maisha zaidi ya kujeruhiwa katika gari hiyo kunadaiwa kulikuwa na watu watatu wawili wanawake na mmoja mwanaume
No comments:
Post a Comment