Pages

Thursday, April 16, 2015

MBUNGE WA MOSHI MJINI PHILEMON NDESAMBURO ATANGAZA KUSTAAFU UBUNGE, AMTANGAZA "MRITHI" WAKE


 
Mbunge wa jimbo la Moshi mjini kwa tiketi ya CHADEMA Philemon Ndesamburo ametangaza kustaafu ubunge wa jimbo hilo. Ameyasema hayo katika mkutano wa hadhara 
Mbele ya wananchi wa Moshi na viunga vyake mbunge huyo alimpandisha jukwaani
 
 mstahiki meya wa manispaa ya Moshi Jafar Maiko kuwa ndiye mrithi wake katika ubunge.
Mkutano huo ulifanyika katika viwanja vya Manyema karibu na soko la Mbuyuni
Habari/Picha na Liberatus Oba Mawalla- katibu wa vijana chadema kata ya Korongoni Moshi mjini

No comments:

Post a Comment