Pages

Friday, April 17, 2015

PICHA 5 ZA ZITTO KABWE AKIFANYA MKUTANO MKOANI TABORA

 Zitto akionyesha nguo za chama za Mwenyekiti wa Wazee wa CCM Wilaya ya Urambo Bakari Humbe, aliyeamua kuhama Chama Cha Mapinduzi. (Picha na Said Powa)
Kiongozi wa Chama cha ACT-Wazalendo Zitto Kabwe, akiwahutubia wakazi wa mji wa Urambo Mkoani Tabora huku akinyeshewa mvua majira ya mchana jana, ambapo chama hicho kinaendelea na ziara ya kusaka uungwaji mkono na wananchi.
Kiongozi wa Chama cha ACT-Wazalendo Zitto Kabwe, akiwahutubia wakazi wa mji wa Tabora kwenye 

 
viwanja vya Shule ya Msingi Uyui mjini hapa jana, ambapo chama hicho kinaendelea na ziara ya kusaka uungwaji mkono na wananchi. 
Wakazi wa Wilaya ya Urambo Mkoani Tabora wakiandamana kumpokea kiongozi wa chama cha ACT-Wazalendo Zitto Kabwe. ambapo aliwahutubia akazi hao.

No comments:

Post a Comment