Pages

Friday, April 17, 2015

TAZAMA PICHA 30 ZA VURUGU ZA WAZAWA DHIDI YA WAGENI NCHINI AFRIKA KUSINI

Wanainchi  wakiwa wameshika silaha tayari kupambana 

Polisi wakizidi kupambana na wenyeji hao

 Kila mtu ana silaha za jadi


 Wanainchi wa Afrika Kusini wakichoma Gari
 Mama wa Kizungu akiwa analia baada ya gari yake kupasuliwa kiooo
 polisi wakienda kupambana na Raia wanaofanya vurugu


Wenyeji wa Afrika Kusini wakiimba huku wakiwa na silaha za jadi kuwataka wageni waondoke nchini humo











No comments:

Post a Comment