Khamis Mcha Khamis ‘Viali’ ambaye ni mchezaji wa Azam FC
pamoja na timu ya taifa ya zanzibar ‘ Zanzibar Heroes ‘ na ile ya Muungano
‘Taifa Stars ‘, amefiwa na Baba yake mzazi hapo jana.
Mzee Mcha Khamis amefariki baada ya kuugua kwa
muda mrefu,
alisumbuliwa na matatizo ya njia ya mkojo, taratibu za mazishi zinafanywa.
Klabu Azam FC, Uomgozi na wafanyakazi wa Times FM unampa
pole Viali na familia yake na kuwataka wawe na subra katika kipindi hiki
kigumu. Innalillah wa innaillaih rajiun!
No comments:
Post a Comment