Pages

Wednesday, April 15, 2015

SAD NEWS:::MCHEZAJI WA TIMU YA TAIFA MCHA KHAMIS AFIWA NA BABA YAKE

TANZIA!

Khamis Mcha Khamis ‘Viali’ ambaye ni mchezaji wa Azam FC pamoja na timu ya taifa ya zanzibar ‘ Zanzibar Heroes ‘ na ile ya Muungano ‘Taifa Stars ‘, amefiwa na Baba yake mzazi hapo jana.

Mzee Mcha Khamis amefariki baada ya kuugua kwa 

muda mrefu, alisumbuliwa na matatizo ya njia ya mkojo, taratibu za mazishi zinafanywa.

Klabu Azam FC, Uomgozi na wafanyakazi wa Times FM unampa pole Viali na familia yake na kuwataka wawe na subra katika kipindi hiki kigumu. Innalillah wa innaillaih rajiun!

No comments:

Post a Comment