Social Icons

IMETOSHA

IMETOSHA

Friday, May 8, 2015

KOCHA WA SIMBA ATAKA MSHAHARA HUU KUENDELEA KUIFUNDISHA SIMBA

simba
Kocha mkuu wa Simba Goran Kopunovic anatarajiwa kusaini mkataba mpya na timu ya Simba ili kuendelea kuinoa timu hiyo. Simba ambayo imekosa kosa nafasi ya pili baada ya Azam kuifunga Yanga na kuchukua nafasi ya pili.
Goran kasema ataka timu hiyo imlipe dola za 

 
kimarekani 5000 kwa mwezi  ili asaini mkataba mpya.
Kwa mujibu wa chanzo cha story hii ni kwamba mazungumzo ya kwanza na kocha huyo yameshafanyika kati ya kocha na uongozi wa club hiyo. Pia kocha huyo anategemewa kuendelea kusaidiwa na mchezaji wa zamani wa Simba Selemani Matola.

No comments:

Post a Comment