Asante
mungu Kwa kunipa uhai Na kipaji ambacho leo hii kina fanya naitwa Aslay
pia nakushukuru kwa kunifikisha kwenye mikono Ya mtu mwenye moyo wa
kibinaadamu. Najua kuna mengi makubwa ambayo boss wangu @mkubwafella
umenifanyia ambayo si vyema kuyataja yote kwasababu wakati wake
haujafikia ila naomba nichukue fulsa hii kukushukuru kwa
hiki ulichonifanyia leo katika sherehe Ya kusherehekea siku yangu Ya kuzaliwa umenifanya nijione mwenye thamani kubwa duniani sikutegemea kama leo itakuwa siku yangu ya kumbukumbu ambayo sitoweza kuisahau hata Nije kuwa bilionea @mkubwafella asante kwa kunipa hii zawadi ambayo mimi kama mimi sikuiwazia kabisa kama Leo nitapata gari Na ninaushukuru uwongozi mziki Wa #mkubwanawanawe pamoja na manager wangu
@chambusso boss wangu @babutale @mhtemba na mama yangu @sweatfella bila kuwasahau wasanii wenzangu wa @yamoto_band mungu ndie atakaewalipa ... Nawatakia usiku mwema woote na Watu wa Dodoma Tukutane kesho pale Matei
No comments:
Post a Comment