Social Icons

IMETOSHA

IMETOSHA

Tuesday, June 2, 2015

Mbunge wa Ukonga Eugene Mwaiposa amefariki Dunia

Mbunge wa Ukonga Eugene Mwaiposa amefariki usiku wa kuamkia leo mjini Dodoma Bungeni,
Haijafahamika vema kama alikuwa anaumwa nini, lakini taarifa za awali zinasema, Amefia Rock Hoteli jirani na kituo 



cha mafuta cha shabiby. Alilala vema hakuamka wahudumu wakaita polisi wakavunja mlango ndo kukuta kishatangulia mbele ya haki.

No comments:

Post a Comment