Pages

Monday, June 1, 2015

NAIBU KATIBU MKUU CHADEMA,ZANZIBAR SALUM MWALIM ATUNUKU VYETI KWA WANACHAMA WA CHASO MKOA WA KILIMANJARO.

Naibu Katibu mkuu wa Chadema taifa upande wa Zanzibar Salum Mwalimu akizungumza wakati wa mahafali ya Chaso mkoa wa Kilimanjaro yaliyofanyika katika shule ya sekondari Majengo.


Baadhi ya wanachama wa Chaso  kutoka vyuo mbalimbali mkoa wa Kilimanjaro wakiwa katimsikiliza Naibu katibu mkuu wa Chadema taifa,upande wa Zanzibar Salum Mwalimu wakati wa sherehe za umoja huo.
Wakili wa kujitegemea Elikunda Kipoko (katikati) akisikiliza kwa makini hotuba ya Naibu katibu mkuu Zanzibar ,Salum aliyoitoa wakati wa mahafali ya kuhitimu kwa wanafunzo wa vyuo vikuu ,wanachgama wa Chaso. 
Mbunge wa Viti maalum Lucy Owenya (Chadema) katikati akiwa na Diwani wa kata ya Longuo ,Raymond Mboya (Kushoto) na kulia kwake ni aliyekuwa katibu wa Chadema wilaya ya Moshi vijijini.Aquiline Chuwa .
Aliyekuwa katibu wa Chadema wilaya ya Moshi vijijini,Aquilene Chuwa akizungumza katika mahafali hayo.
Naibu katibu mkuu Chadema Zanzibar,Salum Mwalimu akitunuku yeti kwa wanafunzi wana tarajia kumaliza elimu ya chuo kikuu ambao ni wanachama wa Chaso mkoa wa Kilimanjaro.
Mratibu wa Chaso aliyemaliza muda wake ,Ibrahim Chotola  akizungumza wakati akiaga nafasi hiyo rasmi na kukabidhi kwa mratibu mpya wa Chaso mkoa wa Kilimanjaro.
Chotola akifanya utambulisho wa mratibu mpya wa Chaso mkoa wa Kilimanjaro Malijoel Mali.
Mratibu mpya wa Chaso mkoa wa Kilimanjaro ,Malijoel Mali akitoa salamu ya chama chake mara baada ya kukabidhiwa rasmi mikoba ya kufanya shughuli za Umoja huo.


Na Dixon Busagaga wa Globu ya Jamii Kanda ya Kaskazini.

No comments:

Post a Comment