
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete na mkewe Mama Salma wakiweka shada katika kaburi la mpigania uhuru na muasisi wa taifa la India Mahatma Ghandi jijini New Delhi India leo asubuhi.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,
Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete akikaribishwa na Waziri Mkuu wa India,
Mheshimiwa Narendra Modi mara baada ya kuwasili Ikulu ya India kwa sherehe za
ukaribisho wake rasmi nchini India kwa ajili ya ziara yake ya Kiserikali.
Sherehe hizo zimefanyika asubuhi ya leo, Ijumaa, Juni 19, 2015.

Rais Dkt.Jakaya Mrisho kikwete na mkewe Mama Salma Kikwete, Waziri Mkuu
wa IndiaMheshimiwa Narendra Modi, na Rais Wa IndiaMheshimiwa Pranad Mukherjee
wakiwa katika picha ya pamoja muda mfupi baada ya Rais kikwete kuwasili katika
ikulu ya India kwa mapokezi rasmi
![]() |
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete akikagua gwaride la Majeshi ya India liliandaliwa kwa ajili ya kumkaribisha kwa ziara rasmi ya Kiserikali nchini India katika sherehe za ukaribisho zilizofanyika asubuhi ya leo. Picha na Freddy Maro |
No comments:
Post a Comment