Pages

Friday, June 19, 2015

TAIFA STARS YAWASILI ZANZIBAR TAYARI KUWAKABILI WAGANDA JUMAMOSI

Kocha wa Timu ya Taifa Stars alipowasili bandarini Zanzibar pamoja na Timu ya taifa Taifa Stars
Wachezaji wa timu ya soka ya taifa ya Tanzania, Taifa Stars walipowasili bandarini Zanzibar wakisubiri usafiri kuwapeleka hotelini.

Wachezaji wa timu ya soka ya taifa ya Tanzania, Taifa Stars wakiwasili visiwani Zanzibar leo tayari kwa mchezo dhidi ya Uganda Jumamosi Uwanja wa Amaan, kuwania kufuzu Fainali za Ubingwa wa Mataifa ya Afrika (CHAN), michuano inayoshirikisha wachezaji wanaocheza ligi za nchini mwao peke

 
Wachezaji wa timu ya soka ya taifa ya Tanzania, Taifa Stars wakipanda basi dogo lililoandaliwa kwa ajili ya timu. Kwa hisani ya ZanziNews

No comments:

Post a Comment