Waziri wa mambo ya nje Bernard Membe.
Taarifa kutoka ndani ya tasnia hizo ambazo zina nguvu ya ushawishi katika jamii zimeeleza kuwa, Membe ambaye ni Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, kwa kiwango kikubwa amewakamata wasanii wengi wa Bongo Movies wanaomuunga mkono huku Lowassa (Waziri Mkuu wa zamani) akiwa amewadhibiti vilivyo mastaa wa Bongo Fleva.
“Ni mpasuko wa aina yake, Membe ameonekana kuwakamata kisawasawa wasanii wa Bongo Movies na ndiyo maana hata juzi (Jumapili iliyopita), mastaa wengi wa filamu walikwenda Lindi kumuunga mkono alipokuwa anatangaza nia.
MPASUKO!
Zikiwa zimesalia takriban siku 31 kabla ya Chama Cha Mapinduzi (CCM)
kumpitisha mgombea mmoja wa urais atakayechuana na vyama vya upinzani,
imebainika kuwa mastaa wa filamu na Bongo Fleva wamegawanyika vipande
huku wakiwa kwenye msuguano mkali kufanikisha ushindi wa makada Bernard
Membe na Edward Lowassa,
Risasi Mchanganyiko linapa mchapo kamili.
WAJIPAMBANUARisasi Mchanganyiko linapa mchapo kamili.
Taarifa kutoka ndani ya tasnia hizo ambazo zina nguvu ya ushawishi katika jamii zimeeleza kuwa, Membe ambaye ni Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, kwa kiwango kikubwa amewakamata wasanii wengi wa Bongo Movies wanaomuunga mkono huku Lowassa (Waziri Mkuu wa zamani) akiwa amewadhibiti vilivyo mastaa wa Bongo Fleva.
“Ni mpasuko wa aina yake, Membe ameonekana kuwakamata kisawasawa wasanii wa Bongo Movies na ndiyo maana hata juzi (Jumapili iliyopita), mastaa wengi wa filamu walikwenda Lindi kumuunga mkono alipokuwa anatangaza nia.
No comments:
Post a Comment