Haya Ndio majina 10 ya watu maarufu waliolipwa zaidi mwaka 2015
Floyd Mayweather Jr.
Jay Z Na mke wake Beyonce wameshindwa kukamata nafasi za juu kwenye
orodha ya watu maarufu waliolipwa zaidai mwaka 2015. Jarida la Forbes
limetoa watu maarufu 100 waliolipwa zaida mwaka huu. Beyonce ameshika
namba #29 akiwa na pesa dola milioni $54.5 . Hii ndio orodha ya kumi bora.
1. Floyd Mayweather: $300 million
2. Manny Pacquiao: $160 million
3. Katy Perry: $135 million
4. One Direction: $130 million
5. Howard Stern: $95 million
6. Garth Brooks: $90 million
7. James Patterson: $89 million
8. Robert Downey Jr.: $80 million
9. Taylor Swift: $80 million
10. Cristiano Ronaldo: $79.5 million
No comments:
Post a Comment