JUMA NATURE KASHIRIKISHWA KWENYE HII YA RIZ SIDANGANYIKI (NEW VIDEO)
Juma Nature, mkongwe mwingine wa bongofleva mwenye tuzo ya kudumu ya heshima kwa ubunifu wa chorus ameshirikishwa kwenye single mpya na Riz Conc kupitia kwenye mikono ya producer Dupy ambaye amefanya kazi pia na watu kama Izzo B
No comments:
Post a Comment