Rapa Kanye West ambaye ni mume wa Kim Kardashian amekutana kwa mara ya kwanza na aliyekuwa baba yake Kim K ‘Bruce Jenner’ mbaye amebadilisha jinsi yake miezi miwili iliyopita iliawe mwanamke na kujiita Caitlyn Jenner.
Caitlyn Jenner Aliwaalika Kanye Na Kim Katika Uzinduzi wa Tv Show inayoitwa I Am Cait itayokua ikiruka jumapili kwenye kituo cha E!
Caitlyn Jenner (Bruce Jenner) Alisema.. “Kanye and I have never been really close, but I love his open mindedness and I love how he’s helped Kim come to grips with what is going on” .
No comments:
Post a Comment