Rais Jakaya Mrisho Kikwete akilakiwa na Waziri Mkuu wa Australia Mhe.
Tonny Abbot alipowasili asubuhi ya tarehe 28 Julai 2015 katika makao
Makuu ya kiongozi huyo jijini Sydney
Rais Jakaya Mrisho Kikwete na ujumbe wake wakiwa katika mazungumzo rasmi
na Waziri Mkuu wa Australia Mhe. Tonny Abbot asubuhi ya tarehe 28
Julai 2015 katika makao Makuu ya kiongozi huyo jijini Sydney
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akikagua gwaride la lililoandaliwa kwa
heshima yake huku akipigiwa mizinga 21 alipowasili asubuhi ya tarehe 28
Julai 2015 katika makao Makuu ya kiongozi huyo jijini Sydney
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiutambulisha ujumbe wake kwa Waziri Mkuu wa
Australia Mhe. Tonny Abbot alipowasili asubuhi ya tarehe 28 Julai,
2015 katika makao Makuu ya kiongozi huyo jijini Sydney
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiweka sahihi katika kitabu cha wageni
alipowasili kwenye jumba la serikali jijini Sydney tarehe 28 Julai 2015
na kukutana na kufanya mazungumzo na Gavana Mkuu wa Australia
Mheshimiwa Peter Cosgrove aliyesimama nyuma yake pamoja na Mama Salma
Kikwete na Mke wa Gavana huyo Mama Cosgrove.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiongea wakati wa chakula cha mchana kwenye
jumba la serikali jijini Sydney tarehe 28 Julai 2015 baada ya kukutana
na kufanya mazungumzo na Gavana Mkuu wa Australia Mheshimiwa Peter
Cosgrove.PICHA NA IKULU
TUNDU LISSU AMBWAGA MBOWE NAFASI YA UWENYEKITI CHADEMA
-
*NA EMMANUEL MBATILO, MICHUZI TV.*
*TUNDU Lissu ameibuka mshindi katika nafasi ya Mwenyekiti Chama Cha
Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) dhidi ya mpinzan...
2 hours ago
No comments:
Post a Comment