Nyota wa muziki nchini Nigeria, Wizkid.
NYOTA wa muziki nchini Nigeria, Wizkid, ambaye wimbo wake
wa ‘Ojuelegba’ unatamba baada ya
kumshirikisha rapa Mmarekani, Drake, amesema mwanzoni alikuwa ametaka
kumshirikisha rapa Rick Rose, lakini Drake ndiye aliyewahi kuwasiliana naye ili
ashiriki kwenye wimbo huo.
Katika mahojiano yake na vyombo vya habari, mwanamuziki huyo
aliyezaliwa eneo la Surulere jijini
Lagos, alisema Drake aliwasiliana naye kwenye
mtandano wa Instagram na walipokutana jijini London, aliurekodi wimbo huo.
No comments:
Post a Comment