Askofu Charles Gadi akitoa historia yake katika ibada yake ya kusimikwa kuwa Askofu Mkuu wa Makanisa ya Good News for All baada ya kusimikwa rasmi katika kanisa hilo la Mapinga Wilayani Bagamoyo mkoani Pwani hivi karibuni.
Wazee wa kiroho wa Askofu Gadi wakiwasalimia waumini katika ibada hiyo.
Rais wa Makanisa ya Kipentekosti Afrika, Dk.Athar Gitonga (kushoto), akimkabdidhi fimbo ya Uaskofu, Askofu Gadi wakati wa ibada hiyo ya kuzimikwa kuwa Askofu wa Makanisa hayo.
Hapa akikabidhiwa Biblia Takatifu. Kushoto ni Askofu Joshua Lwele.
Askofu Gadi akikabidhiwa cheti cha kutawazwa kuwa Askofu.
Hapa anakabidhiwa fimbo ya Uaskofu.
Anavalishwa kofia ya Uaskofu.
Hapa anavalishwa Losari wakati wa ibada hiyo.
Hapa anavalishwa pete ya kiaskofu.
Askofu Charles Gadi akiwasimika wachungaji wa makanisa hayo baada ya kusimikwa kuwa Askofu rasmi wa makanisha hayo hapa nchini.
(Imeandaliwa na mtandao wa www. habari za jamii.com-simu namba 0712-727062)
No comments:
Post a Comment