Social Icons

IMETOSHA

IMETOSHA

Sunday, August 2, 2015

SAID FELLA ASHINDA KWA KISHINDO KURA ZA MAONI KWA KUPATA KURA ASILIMIA 87 KWA KURA ZOTE

Asante MUNGU asante wadau asante tmk WANAUME family asante wcb asante mkubwa na wanawe asante tip top connection asante wanachama wenzangu asante wadau wetu asanteni kila mmoja wetu anae kubali harakati zangu jana ni siku nyengine nimetengeneza history kwa kupigiwa kura nyingi na wana ccm wenzangu kwenye kinyang'anyilo cha 

 
udiwani kata ya kilungule na shukulu MUNGU nimepata asilimia 87 kwa kura zote asante MUNGU

No comments:

Post a Comment