Kocha
wa Mwadui FC ya mkoani Shinyanga Jamhuri Kihwelu maarufu kwa jina la JULIO ni
miongoni mwa waliotia nia ya kugombea udiwani katika kata ya Kigogo kwa tiketi
ya Chama Cha Mapinduzi (CCM).
Msikilize
Julio alipokuwa akijinadi mbele ya wapiga kura.
No comments:
Post a Comment