Wayne Rooney enzi za utoto wake
Wayne Rooney ni mchezaji wa Manchester United mwenye heshima
kubwa kwenye klabu yake, taifa lake na dunia kwa ujumla kutokana na uwezo wake
mkubwa awapo uwanjani.
Kutoka kushoto: John Rooney (7), Graeme Rooney (10) na Wayne
Rooney (12)
Leo nimekuwekea picha kadhaa za Rooney wakati akiwa mdogo,
kumbe huyu jamaa na yeye ni kama wachezaji wengine wenye majina makubwa
duniani, alianza kucheza mpira akiwa na umri mdogo sana na kitu cha kufurahisha
ni kwamba wadogozake pia walikuwa wanacheza mpira japo hawakufanikiwa kuvuma
duniani kama yeye.
Wayne Rooney wakati akiwa na umri wa miaka 10
Duncan Ferguson akimkabidhi Wayne Rooney kitambaa cha
unahodha wakati anatoka nje ya uwanja
No comments:
Post a Comment