Wakazi wa Jimbo la Kibamba jijini Dar es Salaam wajitokeza kumlaki mgombea urais wa Ukawa Edward Lowassa Septemba 7, 2015
Ni ishara ya Lowassa Mabadiliko, Mabadiliko Lowassa
Edward Lowassa akiongozana na Freeman Mbowe kwenda kufanya kampeni katika jimbo la Kibamba jijini Dar es Salaam
Lowassa akimtambulisha mgombea ubunge Jimbo la Kibamba John Mnyika kwa wakazi wa eneo hilo
Edward Lowassa akilakiwa na mamia ya wakazi wa Kibamba
Lowassa akiwasalimia wakazi wa Kibamba
Lowassa akionyesha ishara ya kuwasalimia kwa dhati wakazi wa Jimbo la Kibamba jijini Dar es Salaam
Mamia ya wakazi wa Kibama wajitokeza kumlaki Edward Lowassa
Mabadiliko Lowassa, Lowassa Mabadiliko
Meza Kuu (kutoka kushoto) Frederick Sumaye, Edward Lowassa, Freeman Mbowe, Salim Mwalim
Mwnedo wa Mabango tu
Mbunge wa Kawe Halima Mdee akizungumza na wakazi wa jimbo la Kibamba
Mgombea urais Edward Lowassa akizungumza na wakazi wa Jimbo la Kibamba Septemba 8, jijini Dar es Salaam. Picha na EATV
No comments:
Post a Comment