Social Icons

IMETOSHA

IMETOSHA

Tuesday, September 8, 2015

Tazama Picha Za KINGWENDU Alivyotikisa Kisarawe Kwenye Kampeni Zake za Ubunge

Hizi ni baadhi ya picha za msanii wa filamu za vichekesho nchini, Rashid Mwinshehe ‘Kingwendu’ ambaye ni mgombea ubunge 


jimbo la Kisarawe kupitia tiketi ya chama cha wananchi CUF alipokuwa akinadiwa na mgombea mwenza wa urasi kupitia CHADEMA, Juma Duni Haji hivi karibuni.

No comments:

Post a Comment