Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo
Mh. Nape Nnauye kushoto akiongea na Balozi wa Norway nchini Tanzania
Hanne-Marie Kaarstad wakati wa Kikao kilichofanyika Ofisini kwa Waziri,katika
kikao hicho Norway iliahidi kuendelea kudumisha ushirikiano na Tanzania katika
sekta ya utamaduni, Sanaa na Michezo.
Balozi wa Norway nchini Tanzania Hanne-Marie Kaarstad
kulia akiongea na Waziri wa Habari,
Utamaduni, Sanaa na Michezo Mh. Nape Nnauye kushoto wakati wa Kikao
kilichofanyika Ofisini kwa Waziri,katika kikao hicho Norway iliahidi kuendelea
kudumisha ushirikiano na Tanzania katika sekta ya utamaduni, Sanaa na Michezo. (Picha na Benjamin Sawe-WHUSM).
No comments:
Post a Comment