Wakaazi wa DMV wakijinunulia mahitaji muhimu kwa tahadhali ya theluji kabla ya kuanguka usiku wa kuamkia leo jumamosi Januari 23 iliyoambatana na upepo mkali maeneo mengine ukikanyaga theluji mguu unatitia mpaka kwenye goti.
Magari ya kukwangua theluji na kumwaga chumvi akijiatayarisha kwa theluji iliyoanguka usiku wa kuamkia leo Jumamosi DMV.
Theluji inavyoonekana mapema leo kwenye mjengo wa bunge la Marekani.
Mapema leo asubuhi Silver Spring.
Mitaa ya Hyattsville.
Wanafunzi wakiwahi majumbani siku ya Ijumaa Januari 22, 3016 wakati theluji ilipokua ikianza kuanguka
No comments:
Post a Comment