Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu imeifuta kesi ya kutumia
lugha ya matusi kwa maofisa wa Jeshi la Polisi iliyokuwa ikimkabili aliyekuwa
Waziri wa Mambo ya Ndani nchini, Lawrence Masha (45) ambaye kwa sasa ni kada wa
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema).
SERIKALI YASAINI MKATABA UJENZI DARAJA LA JANGWANI, BILIONI 97.1 KUTUMIKA.
-
Serikali imesaini mkataba wa ujenzi wa Daraja la Jangwani lenye urefu wa
mita 390 na barabara za maungio zenye urefu wa mita 700 katika barabara ya
Fire - ...
2 hours ago
No comments:
Post a Comment