Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu imeifuta kesi ya kutumia
lugha ya matusi kwa maofisa wa Jeshi la Polisi iliyokuwa ikimkabili aliyekuwa
Waziri wa Mambo ya Ndani nchini, Lawrence Masha (45) ambaye kwa sasa ni kada wa
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema).
No comments:
Post a Comment