Pages

Friday, February 19, 2016

HUYU NDIYE MCHINA ALIYESHIKA NAFASI YA PILI KITAIFA KWENYE MATOKEO YA KIDATO CHA NNE


Mshindi wa pili kitaifa katika Matokeao ya kidato cha nne  mwaka 2015, mtanzania mwenye asili ya China, CongCong Wang kushoto) akiwa na mama yake mara baada ya kutangazwa jana matokeo hayo. Amemaliza kidato cha nne Feza Girls. Picha na Lovennes Bernard.

No comments:

Post a Comment